Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, December 28, 2011

Masaada!

VODACOM TANZANIA YAHAMASISHA KUCHANGIA WAHANGA WA MAFURIKO


Ndugu  zetu waliopatwa na janga la mafuriko bado wanahitaji misaada yetu Watanzania  tafdhal endelea kuchangia kwa Kupitia nambari ya Red Alert 15599  mteja anaweza kuchangia shilingi 500 kwa kutuma ujumbe mfupi  – SMS wenye neno MAAFA na hakuna ukomo wa ujumbe na  kwa njia ya m-pesa mteja anaweza kuchangia kuanzia shilingi  1,000 na zaidi kwenda nambari 155990.


Jinsi  ya kuchangia kwa m-pesa
 

*150*00# kupata orodha  ya huduma za m-pesa.
 

Hatua  ya 2: Chagua 4 – Lipa Bili
 

Hatua  ya 3: Weka namba ya kampuni – weka namba 155990
 

Hatua  ya 4: Weka namba ya kumbukumbu – weka namba yako ya simu
 

Hatua  ya 5: Weka kiasi – ni kuanzia Tsh 1,000 na kuendelea
 

Hatua  ya 6: Weka namba yako ya siri
 
Hatua  ya 7: Bonyeza 1 kwa kuhakikisha muamala na tayari utakuwa umeshachangia.

No comments:

Post a Comment