Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, March 27, 2012

BREAKING NEWS:

INTER MILAN YAMTIMUA RANIERI

Inter Milan wamemtimua kocha Claudio Ranieri, katika siku ambayo Raisi wa klabu hiyo Massimo Morratti alisema kocha huyo wa zamani wa Chelsea, Valencia na Roma angekaa katika benchi la ufundi mpaka mwishoni mwa msimu.

The Nerazzurri walifungwa 2-0 na Juventus jumapili iliyopita, kuongeza presha kwa Ranieri na kuchangia Moratti kutoa kauli ya: "Nafikiri Ranieri atabakia mpaka mwishoni mwa msimu."

Lakini la kushangaza masaa kadhaa baada ya kauli hiyo ya mwenye timu, klabu ilitangaza kupitia mtandao wake kwamba Ranieri amefukuzwa kazi, hivyo kumaanisha kwamba Milan sasa watakuwa wamefundishwa na makocha watatu ndani ya msimu baada ya kumteua kocha wa timu ya vijana Andrea Stramaccioni kubeba jahazi hadi mwishoni mwa msimu, akirithi nafasi ambayo ilimshinda Gian Piero Gasparini na Ranieri.

Kocha wa zamani wa Chelsea Andre Villas-Boas anabakia kuwa mtu wakwanza anayepewa nafasi ya kuchukua majukumu ya kuifundish klabu hiyo msimu ujao.

Thursday, March 15, 2012

Ajali! Ajali! Aijali.....

SIKU NILIYOPATA AJALI TABATA MAENEO YA DAR WEST TABATA

 Sehemu ya tairi ya mbele ikiwa imeharibika vibaya

Kioo cha mbele kikiwa kimealibika baada ya gari kupinduka