Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Monday, July 2, 2012

SPAIN BINGWA EURO 2012

Jana usiku spain walitangazwa kuwa mabingwa wa EURO 2012 baada ya kuikung'uta Italy kwa mabao 4-1 yaliyofungwa na David Silva, Jordi Alba, Fernando Toress na Juan Mata.

Mabingwa watetezi Spain.

David Silva akishangilia goli alilofunga






Wednesday, June 27, 2012

POLE MPIGANIA HAKI DR.STEVEN ULIMBOKA


Dr.Steven Ulimboka mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari akiwa amejeruhiwa vibaya




Dr. Ulimboka akipakiwa garini kuelekea idara ya mifupa MOI


Madaktari wakilisukuma gari alilopanda dr. Ulimboka

MAHAKAMA YAWAPIGA MKWARA MADAKTARI



Tuesday, June 26, 2012

SHANGWE ZA KITCHEN PARTY YA BI. SHANGWE

Picha Mnato kwa hisani ya kaka nanii!

 Bibi harusi mtarajiwa Shangwe Mkwawa


Kiatu cha mtarajiwa
















Monday, June 25, 2012

WEMA AZINDUA FILAMU YAKE

Msanii wa tasnia ya filamu nchini Wema Sepetu amezindua filamu yake mpya iitwayo SuperStar huku muigizaji ngulu wa nchini Nigeria Omotola Jalade akiwa mgeni wa busara.

 
Omotola (kushoto), akiwa na mwenyeji wake Wema Sepetu 
 

Omotola (kushoto) akibadilishana mawazo na mwenyeji wake Wema Sepetu
 
Wema akimpatia maiki Omotola  kwenye uzinduzi huo.
 
 

ITALY YAITOA UINGEREZA NA KUTINGA NUSU FAINALI

Timu ya taifa ya Italy jana iliiondosha katika mashindano ya kombe la Ulaya timu ya taifa ya Uingereza baada ya kuifunga kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya kuchoshana nguvu kwa kutoka suluhu ya 0-0 katika kipindi cha dakika 120. Picha kwa hisani ya Sky Sports.



















Sunday, June 24, 2012

WANA- CHELSEA BONGO WAJUMUIKA KUFURAHIA UBINGWA WA ULAYA

Wapenzi wa mabingwa wapya wa ulaya, Chelsea FC ya Uingereza leo walikutata katika fukwe za msasani Beach Club kusherekea ubingwa wa ulaya walioupata msimu huu ulioisha. Wapenzi walisheherekea kwa kufanya michezo mbalimbali pamoja na kupata burudani za muziki kutoka bendi ya Akudo na Muumini Mwijuma.

 Wadau wakifurahia ushindi wa Chelsea

Kaka nanii nae hapitwi dah!

Wpenzi wa Chelsea wakishangilia.
 

Bendi ya Muumin Mwijuma ikitumbuiza


Furaha ilizidi kupamba moto

Friday, June 22, 2012

KELVIN YONDANI ATAMBULISHWA JANGWANI

Mchezaji ambaye usajili wake ulikuwa na utata Kelvin Yondani leo ametambulishwa rasmi katika klabu ya yanga yenye maskani ya ke Jangwani katika kipindi cha mazoezi ya asubuhi klabuni hapo. Yondani aliungana na wachezaji wenzake mara baada ya utambulisho huo.



Thursday, June 21, 2012

IBM PURESYSTEMS LAUNCH EVENT

Kampuni ya IBM ikishirikiana na IBM Tanzania hivi karibuni walizindua teknologia mpya ya PureSytems katika warsha iliyofanyika katika ukumbi wa sherehe wa Hotel ya Hyatt- Kilimanjaro Hotel jijini Daeies-es-Salaam.


Washiriki wakiwa ukumbini Hyatt Kilimanjaro Hotel



Wadau na washiriki mbalimbali wakifuatilia kwa umakini

Wednesday, June 20, 2012

EURO 2012





UINGEREZA YATINGA ROBO FAINALI

Timu ya taifa ya Uingereza jana usiku ilifanikiwa kuingia robo fainali ya michuano ya EURO 2012 baada ya kumfunga mwenyeji Ukrain kwa 1-0 ambapo bao la ushindi la uingereza lilifungwa na mchezaji anayechezea klabu ya Manchester United Wayne Rooney.

Mchezaji Wayne Rooney akipongezwa na mwenzie John Terry mara baada ya mechi kumalizika ambapo Uingereza walishinda 1-0