Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, June 27, 2012

POLE MPIGANIA HAKI DR.STEVEN ULIMBOKA


Dr.Steven Ulimboka mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari akiwa amejeruhiwa vibaya




Dr. Ulimboka akipakiwa garini kuelekea idara ya mifupa MOI


Madaktari wakilisukuma gari alilopanda dr. Ulimboka

1 comment:

  1. Hakuna uovo ambao utaendelea kuumiza bila ya kukomeshwa kwa njia ya sheria,hawa watekaji ni majangili sawa na majambazi,hivyo ni waoga wanavizia badala ya kujenga hoja hadharani kuwa kiongozi wa madakitari ktk kutafuta haki ya maslahi ndo mtu afanywe adui?wazalendo wa leo tujifunze kupambana kwa kujenga hoja na si kuumizana kama alivyo fanyiwa Dr ulimboka.pole sana DR na Ugua pole mungu yupo atakusaidia upone haraka.

    ReplyDelete