Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, June 13, 2012

AFDB ANNUAL MEETING YAFANA ICC ARUSHA

Mkutano mkuu wa kila mwaka ulioandaliwa na benki ya maendeleo Afrika (AFDB) ukishirikisha asasi za kifedha uliofanyika hivi karibuni mkoani Arusha umemalizika kwa mafanikio ikiwa ni pamoja na kuitangaza nchi kimataifa.

Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wageni wake rais wa Ivory Cost na Rais wa Morrocco


 Wadau wa Mkutano wakifuatilia kwa makini mkutano.

Kaka nanii nae aliwakilisha

No comments:

Post a Comment