Friday, September 28, 2012
Wednesday, September 26, 2012
MAAJABU YA DUNIA MWANAMKE AMEJIFUNGUA FARASI KANISANI
Waumini wa kanisa la ‘World liberation Ministry’ linalopatikana katika
mji wa Sepele nchini Benin walikumbwa na mshangao
baada ya mwanamke mmoja kujifungua farasi wakati wa misa ya maombi
iliyofanyika katika kanisa hilo.
Hata hivyo wakati waandishi wa habari walipofika katika kanisa hilo, tayari farasi huyo alikuwa ameshakufa. Inasemekana kuwa mwanamke huyo ambaye jina lake bado halijajulikana, alianza kupiga kelele wakati wa maombi na kisha kuanza kutoa damu katika sehemu zake za siri kabla ya kujifungua farasi huyo.
Msimamizi mkuu wa kanisa hilo, muinjilisti Silva Wealth alisema kuwa bado anashangazwa na kilichomtokea mwanamke huyo. Silva alisema kuwa wakati wa maombi alipata uono kuwa kuna mwanamke mwenye tatizo na kwamba kulikuwa kunakitu kinazuia...
Silva aliendelea kusema kuwa maombi yalipopamba kasi, mwanamke huyo alianza kupiga kelele kisha damu zikaanza kumtoka halafu kikamtoka hicho kitu.
“Siwezi kuelezea kitu hicho. Katika maombi yetu tumewahi kushuhudia watu wakitapika vitu mbalimbali, lakini sio kitu kama hiki.” Alisema muinjilisti Silva.
Mara baada ya taarifa hizo kuzagaa mitaani, watu mbalimbali walianza kukimbilia katika kanisa hilo ili kuweza kushuhudia kwa macho yao.
Kwa hisani ya JF
Monday, September 24, 2012
USAILI VIDEO MPYA YA DIAMOND PLATNUMZ
Msanii Diamond Platnumz juzi jumamosi alifanya usaili wa kuwapata vijana wa kike na wakiume watakaoshiriki katika video yake mpya anayotegemea kuitoa hivi karibuni. Picha kwa hisani ya Bongo 5
Diamond Platnumz akiwasili Nyumbani Lounge
Vijana washiriki
Akihojiwa na Dulla wa EATV
Majaji wa shindano
Viduku navyo havikukosa
Wadada wakijiandikisha
Gerrard: Refereeing decisions cost us
By Mike Whalley
Steven Gerrard believes that referee Mark Halsey got the major
decisions wrong as Liverpool were beaten 2-1 by Manchester United at
Anfield on Sunday.
Jonjo
Shelvey was sent off in the first half for a challenge on Jonny Evans,
and Luis Suarez had a second-half penalty appeal rejected, before United
won the game with a dubious Robin van Persie spot kick.
Defeat
has left Liverpool in the bottom three with just two points from five
games, but fans chanted their support for manager Brendan Rodgers
towards the end.
And Gerrard, who gave ten-man Liverpool the lead before United's fightback, was full of criticism for Halsey's performance.
"The lads performed really well both with 11 men and after we went down to 10," he told the Daily Post.
"In these big games you need the rub of the green and things to go your
way. You certainly don't need big refereeing decisions that are wrong
going against you. That's what happened today and we feel hard done by."
Shelvey's
red card followed after a two-footed lunge on Evans, however the
Northern Ireland international appeared to dive into the challenge with
both feet raised as well.
"I feel for Jonjo a bit. It's a big game
and these games are about big tackles," Gerrard added. "I don't think
he got the tackle wrong. If his tackle is wrong, then Evans' tackle is
wrong as well. That's the consistency we're looking for from referees
and Mark Halsey got that one wrong.
"We gave everything and came
away with nothing. You can't criticise or point any fingers in the
dressing room when the lads perform like that."
Shelvey, who
angrily jabbed his finger at Sir Alex Ferguson after being shown the red
card, took to Twitter afterwards to accuse Ferguson of getting him sent
off, a claim the Manchester United manager dismissed.
He tweeted:
"I apologise to the fans for getting sent off but no way was I pulling
out of that tackle in a game of that importance. I'm sorry. I have also
apologised to Sir Alex. Just where I come from, people don't grass
people up to get someone sent off."
Ferguson, however, argued that the sending off was the right decision after the match.
"Jonjo Shelvey's sending off was a clear red card, there was a
dangerous attempt to go for the ball," he said. "Jonny Evans went for
the ball and got it, and I don't think there was any other decision
referee could make. He blamed me! But he is young and he will realise
the stupidity of it."
VURUGU KWENYE NYUMBA YA IBADA...
Askofu Mkuu wa Angikana Tanzania,la Dk. Valentino
Mkowa aliyevuliwa kofia ya kiaskofu akiwa chini ya ulinzi wa polisi waliokuwa
wamevalia kiraia wakimtoa nje ya Kanisa la Anglikana la watakatifu wote mjini
Sumbawanga baada ya kuzuka kwa vuguru kubwa jana. Picha na Mussa
Mwangoka.
Waumini wa Kanisa la Anglikana la watakatifu wote mjini Sumbawanga jana wakipiga kelele kupinga uamuzi wa nyumba ya maaskofu wa kuridhia askofu Mathayo Kasagara kuwa kiongozi wao ambapo vurugu kubwa zilizuka na kusababisha askofu Mkuu wa kanisa hilo Dk Mokiwa kuondolewa akiwa chini ya ulinzi wa polisi. PIcha na Mussa Mwangoka
Sunday, September 23, 2012
HARUSI YA JOSEPH MWINGEREZA YAFANA
Harusi ya kukata na shoka ilifanyika siku ya jumamosi tarehe 22/09/2012 kati ya Bw. Joseph Mwingereza na mkewe Agness Mgeni katika kanisa la St. Peter na baadae katika tafrija iliyofanyika katika kumbi za Sun Set mbezi Dar-es-Salaam. Picha kwa hisani ya Sumsung Galaxy II
Bwana na Bibi Harusi wakiingia ukumbini
Kimila zaidi
Pongezi!
Keki ya wazazi
MSIBA WA MZEE WETU JOHN MASASI
Ndugu na jamaa wa familia ya Masasi wamesikitika kumpoteza baba yao mpendwa bwana John Masasi aliyefariki na kuzikwa siku ya Ijumaa tarehe 21/09/2012 nyumbani kwake Kimara suka Dar-es-Salaam.
Mwili wa marehemu ukishuswha kaburini
Waombolezaji wakiwa na huzuni
Saturday, September 22, 2012
SENDOFF YA DADA AGNES KWA MWINGEREZA
Familia ya dada Agnes Mgeni alhamisi ilimfanyia tafrija ya kumuaga mtoto wao mpendwa Agnes anaetarajia kufunga ndoa siku ya jumamosi tarehe 22/9/2012 na mchumba wake Joseph Mwingereza. picha kwa hisani ya Samsung II Galaxy.
Bibi harusi mtarajiwa
Bwana Harusi mtarajiwa Bw. Joseph Mwingereza
Watarajiwa
Wandau wakisheherekea na kaka nanii kwa mbaali!
Akienda kumsaka wake wa moyo
Zawadi ya Agnes kwa Joseph!
Haa! haa! kumbe ni vyote avipendavyo Agnes na Liverpool!
Wgeni waalikwa wakifurahi!
Subscribe to:
Posts (Atom)