Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Monday, September 24, 2012

VURUGU KWENYE NYUMBA YA IBADA...

Askofu Mkuu wa Angikana Tanzania,la Dk. Valentino Mkowa aliyevuliwa kofia ya kiaskofu akiwa chini ya ulinzi wa polisi waliokuwa wamevalia kiraia wakimtoa nje ya Kanisa la Anglikana la watakatifu wote mjini Sumbawanga baada ya kuzuka kwa vuguru kubwa jana. Picha na Mussa Mwangoka.




Waumini wa Kanisa la Anglikana la watakatifu wote mjini Sumbawanga jana wakipiga kelele kupinga uamuzi wa nyumba ya maaskofu wa kuridhia askofu Mathayo Kasagara kuwa kiongozi wao ambapo vurugu kubwa zilizuka na kusababisha askofu Mkuu wa kanisa hilo Dk Mokiwa kuondolewa akiwa chini ya ulinzi wa polisi. PIcha na Mussa Mwangoka


No comments:

Post a Comment