Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Thursday, September 20, 2012

BENKI YA KBC YATOA MSAADA MWANANYAMALA NA AMANA


Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii  wa benki ya KCB Christina Manyeye akimkabidhi Mganga msaidizi wa Hospitali ya Amana  DK.Shaany Mwaruka  msaada wa Kitanda cha kusaidia wajawazito kujifunguria (Delivery beds)  wkati wa hafla iliyofanyika katika Hospitali hiyo jijini Dar es Salaam.Jumla ya Vitanda Vitano  na Mashine moja ya kutunzia watoto  ambao wanezaliwa  kabla ya muda wake vyote vikiwa na Thamani ya shilingi milioni 15,5. Vilitolewa na benki ya KCB.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Asha Mahita, kulia ni Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungo na Matroni wa Hospitali ya Amana Sr.Agnes…

No comments:

Post a Comment