Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, January 25, 2011

SHEREHE YA WANAFAMILIA WA BENKI YA CRDB YAFANA

Shereha ya wana familia wa Benki ya CRDB  iliyofanyika Uwanja wa maji  kunduchi siku ya Jumapili.




 Wafanyakazi wa CRDB wakipozi kwa Picha.
 




 Watoto wa wanafamilia nao walikuwepo.


Wadau wakiwa na Mascot katika kusherehesha

 Vivywaji vilikuwa vya kutosha.

Wafanyakazi na wadau wa Benki ya CRDB walioudhuria sherehe hiyo ya wanafamilia wakidualika.

No comments:

Post a Comment