Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, January 5, 2011

DUH! UBUNIFU WA KUCHAKACHUA





                          Jamaa akiwa ndani ya Usafiri wake

Katika hali ya kufurahisha kaka nilipita mitaa fulani wanakotoka kina Niangusage Mwenyewe na kukuta ubunifu wa hali ya juu ambapo jamaa huyu alichakachua kichwa cha lori aina ya FIAT kuwa  nusu gari lililokuwa likikokotwa na Ng'ombe. Gari hilo lina uwezo wa kubeba abilia na dereva akiwa sehemu inayokaa Injini! Wabongo kweli wanatisha kwa uchakachuaji.

No comments: