Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, January 5, 2011

BENDI YA MAPACHA WATATU YAREKODI VIDEO YA SINGLE YAO YA MUHUDU

     Mapacha watatu wakifanya shooting ya Video

Bendi ya Mapacha watatu inayoundwa na Kharid Chokoraa, Jose Mara Na Kalala Junior leo walionekana wakifanya shooting ya single yao mpya inayojulikana kwa jina la Muhudu katika maeneo ya Sneak Peak. Haya wadau tuisubili kwa hamu single hiyo katika Luninga zetu tuone jinsi wazee walivyokandamiza......