Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, January 18, 2011

MTANZANIA ATUNUKIWA TUZO NA MALKIA WA UINGEREZA

                         Charity supporter and IT chief, Ashok J Rabheru

Mtanzania Ashok Rhaberu aliyezaliwa katika mji kasoro bahari Mkoa wa Morogoro mwaka 1952 amefanikiwa kutunukiwa tuzo ya juu ya CVO (Commander of Victorian Order)na Malkia Elizabeth wa II katika sherehe za kuukaribisha mwaka mpya.

Rhaberu ambaye ni mmoja wa kundi la wafanyabiashara wa Tanzania waliopo Uingereza (Tanzanian-UK Group) anamiliki asasi isiyo ya kiserikali inayosaidia maendeleo ya Tanzania.

No comments:

Post a Comment