Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, January 23, 2013

YANGA KIDEDEA TENA, YAICHAPA AFC LEOPARD YA SOUTH AFRICA

Yanga wameendelea kuonyesha ubabe kwa wasauzi baada ya kuichapa Black Leopard mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki ndani ya CCM Kirumba. Mabao ya Yanga yametiwa nyavuni na Said Bahanuzi katika dakika ya 3 huku Jerry Tegete akitikisa nyavu katika uwanja uliomlea kwa bao la ushindi katika dakika ya 53. Bao pekee la Black Leopard lilifungwa dakika ya 12 na mchezaji Obaje.

No comments:

Post a Comment