Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Thursday, February 7, 2013

TAIFA STARS 1 - 0 CAMEROON

Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" jana ilifanya maajabu kwa kuifunga timu ya taifa ya Cameroon  mabao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa taifa mjini Dar-es-Salaam, Tanzania.
Goli la Tanzania lilifungwa na mshambuliaji wake anayecheza soka la kulipwa katika timu ya TP Mazembe ya  nchini DRC Congo katika dakika ya 88 ya mchezo kutokana na krosi iliyopigwa na beki Erasto Nyoni.

Mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta akifunga goli


No comments:

Post a Comment