Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Wednesday, August 29, 2012

Football Transefer news updates......


SOUTHAMPTON YAKAMILISHA USAJILI WA EMMANUEL MAYUKA

Timu ya Southampton inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza jana imethibitisha kukubaliana mambo binafsi na mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Zambia Chipolopolo Emmanuel Mayuka ili kumsajili akitokea timu ya Young Boys inayoshiriki ligi kuu nchini Uswizi.

Mayuka, mwenye umri wa miaka 21,anahamia katika uwanja wa St. Marry unaomilikiwa na Southampton kwa ada ambayo haijatajwa bado ambayo itamfunga kilabuni hapo hadi msimu wa mwaka 2017. Mayuka ambaye ameshapata kibali cha kufanyia kazi nchini Uingereza anaweza kushuka dimbani katika mpambano wao dhidi ya Manchester United siku ya jumapili.

No comments:

Post a Comment