Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Thursday, March 21, 2013

MKUTANO WA KUKUSANYA MAONI YA WADAU JUU YA SERA YA TAIFA YA UNUNUZI

Mkutano wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu utungwaji wa sera ya taifa ya ununuzi inafanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa hotel ya JB Belmonte.


Wadau wakipata kifungua kinywa
 Kamishina wa Idara ya Sera ya Ununuzi wa Umma Dr.F.A Mwakibinga akiwa na Kamishina Msaidizi Bw. Bunare Daniel
Mdau akifuatilia kwa makini

No comments:

Post a Comment