Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Friday, September 23, 2011

Bethidei ya kaka nanii.....!

Picha na matukio ndani ya New Brajec (TPDC) mikocheni
 Mdau akisubili vijana wafike!

 Dogo nae alikuwepo kumpongeza Anko!

 Mara mambo yakaanza...!
 Mdau Rogerz au baba harusi mtarajiwa akila kipande!
 Kumeza!
 Frank Chizi nae akikamata!
 Mdau Mpasa hakutaka kukosa....!
 Na zamu ya dogo ikawadia!
 Mama Imu aliwakilisha pande za Kimara Suka...

Mara mambo yakakolea!


Monday, September 19, 2011

Maisha na Muziki...

P-SHAWN AACHANA NA GEMU LA MUZIKI.......


 Sikiliza moja kati ya ngoma alizofanya.

Paul Nganyanyuka P-Shawn kwa jina la kisaniii...alishafanya ngoma na Ziggy Dee inaitwa "MAISHA" mwaka 2007 na ilifanikiwa kuingia hadi kwenye top 20 za EATVTOP 20 na kufanikiwa kushika namba 6...kuna nyimbo nyingi alifanya wakati huo na producer Washington kutoka Uganda anayefanya ngoma nyingi zikiwema za Bebe Cool, Cindy na hata Salary ya Nameless!!!kwa kuwa alirudi nyumbani na kuachana na maswala ya kufanya muzik nadhani niwapatie wadau hii nyimbo...inaitwa "Tutakukumbuka" artist ni P-Shawn, Ziggy Dee, Washington na Jo Stan...Producer ni Washington na imefanywa katika Studio ya Ziggy Dee inaitwa Livewire Records ilikuwa inapatika katika maeneo ya Bunga Jijini Kampala.. Kwa sasa Ziggy bado anafanya Music, Washington ni Bonge la Producer kama unafuatilia music ya Uganda utakuwa unasikia mikono yake ya kutosha sanaaaaaa,,,Jo Stan ni mtu wa Morogoro kwa sasa ameokoka na P-shawn ameachana music kwa muda na sidhani kama atarudi kunako game tenaa.......P-Shawn ndiye nimechana, Stan na Washington wameimba kiingereza Ziggy kapiga Kibaganda... Kwa sasa P-Shawn ni afisa wa Serikali huko Sumbawanga.

Thursday, September 15, 2011

Uwanja wa movie.....

MR. BEAN AIBUA MOVIE MPYA

Bingwa wa movie za vichekesho maarufa kama Mr. Bean ameibuka na filamu mpya iitwayo Johnny English Reborn. Filamu hiyo ambayo itaanza kuoneshwa hivi karibuni katika kumbi za filamu Mr. Bean ameonesha uwezo mkubwa katika kupigana.
 
 Sehemu ya Filamu hiyo.

Monday, September 12, 2011

BONANZA LA KUKARIBISHA SHIMIWI LAFANA!

Umati wa wafanyakazi wa Idara mbalimbali za serikali ukiwa katika viwanja vya michezo vya TCC Changombe



Mdau nae alikuwepo


 Timu ya kamba ya Wizara ya Fedha katika bonanza



 Ndume ikiwa kazini.

Fare Play

Hii we refa vipi?

Aaah! Baba ya Muziki OTTU JAZZ mnaniangusha kwani hamjakremisha tu?

Pasha Misuli moto! Timu ya Wizara ya Viwanda.


Wakati wa mapumziko

Mwisho wake ukawa hivi!


HUZUNI..! HUZUNI.! MSIBA MKUBWA WAIKUMBA TAIFA

Watu walionusurika wakisubiri zamu yao ya kuokolewa
(picha kwa hisani ya Saleh Mohammed)
 
Moja ya Boti ziendazo kasi zikisaidia katika uokoaji
 
Watu walionusurika kutokana na kuzama kwa meli ya Spice Islander wakijaribu kuomba msaada huku wakiwa juu ya godoro
 
ndugu na jamaa wengine waliangua kilio mara wakiona wapendwa wao wanapoletwa ufukweni
 
 
 
 
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto) akiwa pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein(wane kushoto),Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad(kulia), Waziri wan chi ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais anayeshughulikia maafa na muungano, Mohamed Abood Mohamed pamoja Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakiwa katika viwanja vya Maisara Unguja kukagua shuguli za kushugulikia miili iliyoopolewa pamoja na kuwafariji wafiwa baada ya kuzama kwa meli huko Unguja juzi usiku