ADE MABAO ANALETA MAMBO ANAFANYA MAMBOOO!
Tuesday, December 13, 2011
Futiboli....
CHELSEA YAIUA MAN CITY NA KUVUNJA REKODI YAKE YA KUTOKUFUNGWA KWENYE LIGI
Mchezaji wa Man City Gael Clinch akitolewa nje kwa kadi nyekundu
Timu ya Chelsea FC inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imefanikiwa kuvunja mwiko wa kutokufungwa wa timu ya Man City kwa kuiangusha ka mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Stanford Bridge maarufu kama Darajani.
...Highlights za mechi...!
Kocha wa Chelsea AVB akifuatilia kwa makini..
Magoli ya Chelsea yalifungwa na viungo Raul Morales na Frank Lampard kwa njia ya mkwaju wa penati. City ndio waliotangulia kufunga kwa goli la mapema la mshambuliaji Mario Balotelli. Katika mchezo huo Man City ilimaliza ikiwa na wachezaji 10 baada ya Gael Clinch kupewa kadi ya pili ya manjano na kutolewa nje.
Monday, December 12, 2011
Futiboli....
CHELSEA VS MAN CITY PREVIEW
They were two upper-mid-table clubs based in the middle of large cities. Supporters flock to their 40,000-50,000-seater stadium every home game. Each fan remembers, or knows of, one club’s 3 FA Cups and the other’s 4. Each fan hopes their team can re-produce the glory days of by-gone decades. However, two halves, one angry team talk, and some defensive slip-ups later the fans leave downcast again. That elusive place in Europe is slipping away and they can’t control it. However, like all stories, this one has a happy ending. You see, people abroad have decided buying a football club would be a fun thing to do. These people also have , rather conveniently, many billions of pounds. And so deals are struck, and the clubs pass from their British owners to foreign hands, one directly and the other passes hands a few times before finding its ultimate owner.
Ok, by now you will have guessed that I am talking about two clubs the world of football holds close to their hearts, Chelsea and Manchester City. These two clubs are the clubs that have “bought their way into football”, to quote my Liverpool supporting friends.
Once bought both owners followed the same path, one huge shopping spree. Hundreds of millions have been spent. Roman Abramovich, according to CNN, is said to have spent £240 a minute on Chelsea. To put that into perspective, that’s about 100 Big Macs every minute. Sheikh Mansour too has splashed the cash on high profile signings, and I am sure Mancini will be given a huge budget to get through this summer.
Then the teams became serious fixtures on the minds of the likes of Manchester United, Arsenal and Liverpool. Chelsea
finalised the “Big Four”, who dominated the top four positions of the Premiership for the latter half of the decade. No other clubs were given a look-in. Man. City, as soon as they were bought, were rumored to be able to upset this imbalance that had formed at the top of British football.
However, despite a dismal season for Liverpool, Man. City don’t hold that Champions League place. One might say this was their first season of showing they could hold off bigger clubs, but the start of the season simply didn’t justify the huge spending Man City had made in the summer transfer window. Of course, Hughes was then replaced by Mancini. Yet it was too late, and Man City had already had too much damage done to themselves.
Considering that two years after being bought Chelsea had already won a Premier League title one might therefore claim that Chelsea’s riches have been managed more wisely. Especially when one considers that when the size of relative wealth of their owner’s is compared: Abromavich’s £8 billion seems rather measly compared the Abu Dhabi United Group (Sheikh Mansour and his investment group). However, hopefully after more investment Man City will convert their billions of pounds into competitive, beautiful, football.
The two clubs are the bain of any other supporter, as they, or so say the supporters, are defiling the very values of the game that is football. Perhaps this was most poignantly shown in Jose Mourinho’s tactics he employed with Chelsea, where a string of emotionless boring wins lead Chelsea to two league titles in a row. However, now it seem that Chelsea are showing they can turn on the style and play beautiful football whilst winning as shown by their 103 goals from this Premier League Season. This it could be said provides a valuable defense for the millions spent, as they contributed to providing us with some amazing matches and good football.
And so the story continues, with Chelsea still chasing their Champions League dreams and Man City hoping that next season they can make an assault on that fourth place position…

Futiboli......
BARCA YAIUA MADRID NYUMBANI 1-3
Timu ya Barcelona ya Hispania juzi iliwabwaga mahasimu wao wa ligi Real Madrid katika mechi kali ya "El Classico" iliyofanyika usiku wa kuamkia jana. Mabao ya Barca yalifungwa na Alexis Sanchez, Xavi Hernandez na Cesc Fabrigas. Pata highlight ya mabao kwa hisani ya You-Tube.
BSS YA MAJUU NI NOMA!!!!
VIPAJI VYA UKWELI! WATCH THIS......!
Kwa kweli hii ilisikitisha kiaina kwani asiyekubali kushindwa si mshindani!
Monday, December 5, 2011
.......Good Newz!
HALI YA KIAFYA YA MSANII WA ZE COMEDY VENGU YAZIDI KUIMARIKA..
Hali ya afya ya msanii wa kikundi cha sanaa cha ze comedy kinachorushwa na kituo cha television cha TBC1 imezidi kuimarika baada ya kuhamishiwa katika wodi za wagonjwa wa kawaida kutoka ICU alipokuwa akipatiwa matibabu. Tuzidi kumuombea ili aweze kupona na kuendelea na shughuli zake za kila siku! Mungu amtie nguvu.
Msanii Vengu akiwa na mwanae kabla hajaanza kuumwa.
Friday, December 2, 2011
..Breaking Newz!!!!!!!!!!
MSANII WA BONGO FLEVA MR. EBBO AFARIKI DUNIA.
Habari zilizotufikia hivi karibuni zinasema yule msanii wa Muziki wa bongo Fleva anayetumia rafudhi ya Lugha ya kimasai katika kuimba mashairi yake maarufu kama Mr. Ebbo (Abel Motika) amefariki dunia leo alfajili jijini Arusha.
Marehemu Mr. Ebbo
Msanii Dogo Dito akiomba dua ya kumwombea Mr. Ebbo live katika studio za Clouds Tv. Picha kwa hisani ya Clouds Tv.
Habari zinasema marehemu alikuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu kabla ya umauti kumkuta. Familia nzima ya Blog hii inawapa pole ndugu na jamaa kwa msiba huu! Mungu ailaze pema roho ya marehemu peponi amina.
Thursday, December 1, 2011
Jerry Murro.....
MAHAKAMA YAMWACHIA HURU JERRY MURO
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imemwachia huru aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC 1), Jerry Muro na wenzake ambao walikuwa wanakabiliwa na makosa ya kula njama na kuomba rushwa ya sh. milioni 10 baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka. Jerry ambaye alifunga pingu za maisha na mkewe hivi karibuni alileta hali ya kutofahamu iwapo angeenda lupango ni nini kingetoke kwa my wife wake.
Tuesday, November 29, 2011
Babuuuuu wa Loliondo!
MTAJI WA JERO JERO KIKOMBE WAMTAJILISHA BABU AMBILIKILE MWASAPILE
MCHUNGAJI Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Ambilikile Masapile ‘Babu Ambi’ (pichani), anaendelea kusakamwa na wagonjwa wanaodai hawakuponyeshwa na dawa yake, wapo walioweka nia ya kumburuza mahakamani lakini mpya ni pendekezo la kumfilisi.
Babu Ambi Mwasapile akiwa nje ya nyuma yake ya kisasa.
Babu akiwa na mjukuu wake mbele ya gari alilonunua kutokana na makusanyo ya dawa ya kikombe aina ya Land Cruser Mkonge.
Mtambo wa Umeme unaotumia mionzi ya jua unaotumiwa na babu Ambilikile. Hajui matatizo ya Tanesco.
Babu akiwa sebuleni na nyumba full tiles! Je waliowahi kufika loliondo mnakumbuka kile kijumba chake cha chumba kimoja cha udongo? Kweli Mungu amemshushia miujija babu ambilikile! Aaaaaah babuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
Monday, November 28, 2011
RIP Garry Speed...!
KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA WAILES NA MCHEZAJI WA ZAMANI WA NEWCASTLE YA UINGEREZA AJINYONGA
KOCHA wa timu ya taifa ya Wales, Gary Speed amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa ukiwa unaning’inia nyumbani kwake.
Chama cha Soka cha Wales (FAW) kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho cha kocha huyo mwenye umri wa miaka 42, ambaye pia aliwahi kuzichezea klabu za Leeds, Newcastle, Everton, Bolton Wanderers na Sheffield United.

Tuesday, October 25, 2011
Tuesday, September 27, 2011
Friday, September 23, 2011
Bethidei ya kaka nanii.....!
Picha na matukio ndani ya New Brajec (TPDC) mikocheni
Mdau akisubili vijana wafike!
Dogo nae alikuwepo kumpongeza Anko!
Mara mambo yakaanza...!
Mdau Rogerz au baba harusi mtarajiwa akila kipande!
Kumeza!
Frank Chizi nae akikamata!
Mdau Mpasa hakutaka kukosa....!
Na zamu ya dogo ikawadia!
Mama Imu aliwakilisha pande za Kimara Suka...
Mara mambo yakakolea!
Monday, September 19, 2011
Maisha na Muziki...
Paul Nganyanyuka P-Shawn kwa jina la kisaniii...alishafanya ngoma na Ziggy Dee inaitwa "MAISHA" mwaka 2007 na ilifanikiwa kuingia hadi kwenye top 20 za EATVTOP 20 na kufanikiwa kushika namba 6...kuna nyimbo nyingi alifanya wakati huo na producer Washington kutoka Uganda anayefanya ngoma nyingi zikiwema za Bebe Cool, Cindy na hata Salary ya Nameless!!!kwa kuwa alirudi nyumbani na kuachana na maswala ya kufanya muzik nadhani niwapatie wadau hii nyimbo...inaitwa "Tutakukumbuka" artist ni P-Shawn, Ziggy Dee, Washington na Jo Stan...Producer ni Washington na imefanywa katika Studio ya Ziggy Dee inaitwa Livewire Records ilikuwa inapatika katika maeneo ya Bunga Jijini Kampala.. Kwa sasa Ziggy bado anafanya Music, Washington ni Bonge la Producer kama unafuatilia music ya Uganda utakuwa unasikia mikono yake ya kutosha sanaaaaaa,,,Jo Stan ni mtu wa Morogoro kwa sasa ameokoka na P-shawn ameachana music kwa muda na sidhani kama atarudi kunako game tenaa.......P-Shawn ndiye nimechana, Stan na Washington wameimba kiingereza Ziggy kapiga Kibaganda... Kwa sasa P-Shawn ni afisa wa Serikali huko Sumbawanga.
Subscribe to:
Posts (Atom)