Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Monday, September 19, 2011

Maisha na Muziki...

P-SHAWN AACHANA NA GEMU LA MUZIKI.......


 Sikiliza moja kati ya ngoma alizofanya.

Paul Nganyanyuka P-Shawn kwa jina la kisaniii...alishafanya ngoma na Ziggy Dee inaitwa "MAISHA" mwaka 2007 na ilifanikiwa kuingia hadi kwenye top 20 za EATVTOP 20 na kufanikiwa kushika namba 6...kuna nyimbo nyingi alifanya wakati huo na producer Washington kutoka Uganda anayefanya ngoma nyingi zikiwema za Bebe Cool, Cindy na hata Salary ya Nameless!!!kwa kuwa alirudi nyumbani na kuachana na maswala ya kufanya muzik nadhani niwapatie wadau hii nyimbo...inaitwa "Tutakukumbuka" artist ni P-Shawn, Ziggy Dee, Washington na Jo Stan...Producer ni Washington na imefanywa katika Studio ya Ziggy Dee inaitwa Livewire Records ilikuwa inapatika katika maeneo ya Bunga Jijini Kampala.. Kwa sasa Ziggy bado anafanya Music, Washington ni Bonge la Producer kama unafuatilia music ya Uganda utakuwa unasikia mikono yake ya kutosha sanaaaaaa,,,Jo Stan ni mtu wa Morogoro kwa sasa ameokoka na P-shawn ameachana music kwa muda na sidhani kama atarudi kunako game tenaa.......P-Shawn ndiye nimechana, Stan na Washington wameimba kiingereza Ziggy kapiga Kibaganda... Kwa sasa P-Shawn ni afisa wa Serikali huko Sumbawanga.

No comments:

Post a Comment