Watu walionusurika wakisubiri zamu yao ya kuokolewa
(picha kwa hisani ya Saleh Mohammed)
(picha kwa hisani ya Saleh Mohammed)
Moja ya Boti ziendazo kasi zikisaidia katika uokoaji
Watu walionusurika kutokana na kuzama kwa meli ya Spice Islander wakijaribu kuomba msaada huku wakiwa juu ya godoro
ndugu na jamaa wengine waliangua kilio mara wakiona wapendwa wao wanapoletwa ufukweni
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete(watatu kushoto) akiwa pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein(wane kushoto),Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Seif Shariff Hamad(kulia), Waziri wan chi ofisi ya makamu wa kwanza wa Rais anayeshughulikia maafa na muungano, Mohamed Abood Mohamed pamoja Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume wakiwa katika viwanja vya Maisara Unguja kukagua shuguli za kushugulikia miili iliyoopolewa pamoja na kuwafariji wafiwa baada ya kuzama kwa meli huko Unguja juzi usiku
No comments:
Post a Comment