KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA WAILES NA MCHEZAJI WA ZAMANI WA NEWCASTLE YA UINGEREZA AJINYONGA
KOCHA wa timu ya taifa ya Wales, Gary Speed amefariki dunia baada ya mwili wake kukutwa ukiwa unaning’inia nyumbani kwake.
Chama cha Soka cha Wales (FAW) kimethibitisha kutokea kwa kifo hicho cha kocha huyo mwenye umri wa miaka 42, ambaye pia aliwahi kuzichezea klabu za Leeds, Newcastle, Everton, Bolton Wanderers na Sheffield United.

No comments:
Post a Comment