CHELSEA YAIUA MAN CITY NA KUVUNJA REKODI YAKE YA KUTOKUFUNGWA KWENYE LIGI
Mchezaji wa Man City Gael Clinch akitolewa nje kwa kadi nyekundu
Timu ya Chelsea FC inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza imefanikiwa kuvunja mwiko wa kutokufungwa wa timu ya Man City kwa kuiangusha ka mabao 2-1 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Stanford Bridge maarufu kama Darajani.
...Highlights za mechi...!
Kocha wa Chelsea AVB akifuatilia kwa makini..
Magoli ya Chelsea yalifungwa na viungo Raul Morales na Frank Lampard kwa njia ya mkwaju wa penati. City ndio waliotangulia kufunga kwa goli la mapema la mshambuliaji Mario Balotelli. Katika mchezo huo Man City ilimaliza ikiwa na wachezaji 10 baada ya Gael Clinch kupewa kadi ya pili ya manjano na kutolewa nje.
No comments:
Post a Comment