BARCA YAIUA MADRID NYUMBANI 1-3
Timu ya Barcelona ya Hispania juzi iliwabwaga mahasimu wao wa ligi Real Madrid katika mechi kali ya "El Classico" iliyofanyika usiku wa kuamkia jana. Mabao ya Barca yalifungwa na Alexis Sanchez, Xavi Hernandez na Cesc Fabrigas. Pata highlight ya mabao kwa hisani ya You-Tube.
No comments:
Post a Comment