MAHAKAMA YAMWACHIA HURU JERRY MURO
Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu, imemwachia huru aliyekuwa mtangazaji wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC 1), Jerry Muro na wenzake ambao walikuwa wanakabiliwa na makosa ya kula njama na kuomba rushwa ya sh. milioni 10 baada ya upande wa Jamhuri kushindwa kuthibitisha mashtaka. Jerry ambaye alifunga pingu za maisha na mkewe hivi karibuni alileta hali ya kutofahamu iwapo angeenda lupango ni nini kingetoke kwa my wife wake.
No comments:
Post a Comment