Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Friday, December 16, 2011

Ratiba ya UEFA Champions League.........

Breaking News!!!!!!!!!!!

WASHIKA BUNDUKI WA LONDON WAANGUKIA MDOMONI WA ROSSINELI. (ARSERNALvs AC MILAN)
Timu ya Arsenal ya Uingereza leo mchana imejikuta ikipangwa kucheza na timu kali ya AC Milan ya Italia katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya kuingia robo fainali ya Kombe la klabu bingwa barani Ulaya maarufu kama UEFA Champion League.  Mechi hizo zitachezwa kati ya Feb 14-15 na marudio yatakuwa Feb 21-22.

 Mpanga ratiba wa chama cha soka Ulaya (UEFA) akionesha kikaratasi chenye jina na Arsenal


Ratiba kamili ya roundi ya kumi na sita bora mtoano ni kama ifuatavyo:

First games to be played on Feb 14-15, 21-22

Lyon v APOEL Nicosia
Napoli v Chelsea
AC Milan v Arsenal
FC Basel v Bayern Munich
Bayer Leverkusen v Barcelona
CSKA Moscow v Real Madrid
Zenit St Peterburg v Benfica
Marseille v Inter Milan

No comments:

Post a Comment