Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Thursday, January 27, 2011

BONANZA LA WIZARA YA VIWANDA NA BIASHARA LAFANA LEADERS CLUB

Bonanza la Michezo la lililofanywa na wafanyakazi wa Wizara ya viwanda katika kuukaribishaMwaka mpya lilikuwa ni la kufana na kupendeza.

Wafanyakazi wakicheza mpira wa pete.

Wafanyakazi hapa wakishindana kuvuta kamba.

Mechi kali kati ya timu ya Management na Viwanda Sports Club.


Kina mama nao wakishindana riadha!

Na ukawadia wakati wa kusakata Rhumba.



No comments:

Post a Comment