Jamaa akiwa ndani ya Usafiri wake
Katika hali ya kufurahisha kaka nilipita mitaa fulani wanakotoka kina Niangusage Mwenyewe na kukuta ubunifu wa hali ya juu ambapo jamaa huyu alichakachua kichwa cha lori aina ya FIAT kuwa nusu gari lililokuwa likikokotwa na Ng'ombe. Gari hilo lina uwezo wa kubeba abilia na dereva akiwa sehemu inayokaa Injini! Wabongo kweli wanatisha kwa uchakachuaji.
No comments:
New comments are not allowed.