Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, January 25, 2011

CHELSEA YAFANYA MAUAJI

                    Didier Drogba wa Chelsea akilalamika 

Timu ya Chelsea jana iliibuka kidedea kwa kuikamdamiza Bolton kwa magoli 4-0 yaliyofungwa na Drogda, Ramirez,Anelka na Malouda.