Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Saturday, January 8, 2011

KOCHA WA LIVERPOOL ABWAGA MZIGO

Kocha wa timu ya Liverpool Roy Hudgson.

Kocha wa timu ya Liverpool Roy Hodgson amebwaga manyanga na kuacha kuifundisha timu ya Liverpool baada ya kufanya vibaya katika Ligi kuu ya Uingereza inayoendelea huku timu hiyo ikishika nafasi ya 12 katika msimamo wa lIgi.

Kocha huyo anaachia ngazi huku akiwa ameiongoza klabu hiyo kwa takribani miezi saba tu. Kwa sasa timu hiyo itaongozwa na Kocha Kenny Daglish aliyewahi kukipiga katika timu hiyo inayojulikana kama majogoo.

No comments:

Post a Comment