Viongozi wa CHADEMA wakishirikiana na wanachama wao katika maandamano mjini Arusha leo
Wanachama wa CHADEMA wakizuiwa na Askali wa kutuliza ghasia.
Wanachama wa CHADEMA wakizuiwa na Askali wa kutuliza ghasia.
Jiji la Arusha likijaa moshi wa machozi kwa aliyekuwemi na asiyekuwemo.
Askali wa kikosi cha FFU wakitanda barabarani kwa doria
Magari ya askali yakiwa mitaani
Raia wema na wapita njia wakibubujikwa na machozi kutokana na mabomu
Akijisalimisha kwa Askali wa FFU.
Askali wakijaribu kutaka kuendelea kumwadhibu
Mke wa katibu mkuu wa Chadema Dr. Slaa wa CHADEMA akivuja damu baada ya kujeruhiwa katika vulugu zilizotokea katika maandamano hayo.
No comments:
Post a Comment