KATIKA hali isiyo ya kawaida, wakazi wa Mwananyamala Kwakopa, jijini Dar es Salaam wamepatwa na mshituko mkubwa baada ya kaburi moja kugundulika jana (Jumatatu) likiwa na watoto 11 waliozikwa ndani yake, tukio lililoelezwa kuwa ni ukatili wa kutisha.
Miili ya vichanga 11 vilivyofukuliwa ndani ya shimo moja.
Daktari na wataalamu wakiangalia khanga zilizotumika kuweka miili ya watoto hao.
Shimo lililotumika kuzikia maiti za watoto hao.
Msamalia akijaribu kuchambua nguo zilitofunika watoto hao.
No comments:
Post a Comment