Maandamano ya wananchi wa Misri kupinga serikali iliyo chini ya rais Hosni Mubarak yamezidi kuendelea huku wakishinikiza rais huyo kujiuzuru.
Mtoto akiwa na picha inayomkashifu rais wa Misri
Raia wakiswali kwa pamoja na wanajeshi wa nchi hiyo
Mama wa Ki-Misri akiwa na bango kubwa.
Mzee akiwasalimia wanajeshi baada ya kuamka asubuhi.
Wakisali mbele ya vifaru vya jeshi huko Misri.
Kijana akilalamika kwa uchungu.
No comments:
Post a Comment