Jina la Nabii Titto sio geni miongoni mwa wakazi wa jiji la Dar. Yeye anahubiri matumizi ya pombe kwa kutumia Biblia,anasema kuwa mungu ameruhusu watu wanywe pombe kwani ni tiba sahihi kwa magonjwa mbalimbali. Wadau kama sio uchizi huu ni nini?
Nabii Tito akishika pombe na kitabu cha dini.
Juma Chikoka (Chopa mchopanga) akiwa na Jackline Wolper na Johari wakimsikiliza Nabii Titto kwa umakini mkubwa
Kipeperushi hiki cha Nabii Titto kiliniacha hoi
Sikuamini maneno yake akatumwa mtu alete pombe na Nabii Titto bila hiyana kudhihirisha umma akakata safari beer,Wadau mpooo
Nabii Titto akinukuu neno kutoka kwenye kitabu cha mungu(BIBLIA)kinachoruhusu matumizi ya pombe huku pombe yake ikiwa pembeni.
DUH!!
ReplyDelete