Mwanamziki wa Bongo Fleva AY ametoa wimbo mpya na Miss Trinity, mdada mwenye makazi yake huko California nchini Marekani.
Wimbo huu ambao unaoitwa Good Look umepikwa na Hermy B una historia ya Afrika Mashariki kiaina. Wakati audio imepikwa jijini Dar-es-salaam,video imefanyiwa makeke jijini Kampala nchini Uganda. Hapa tunakupa fursa ya kusikiliza kwanza wimbo katika audio, kisha hapo chini ni video ya Good Look.
No comments:
Post a Comment