Wapenzi wa mabingwa wapya wa ulaya, Chelsea FC ya Uingereza leo walikutata katika fukwe za msasani Beach Club kusherekea ubingwa wa ulaya walioupata msimu huu ulioisha. Wapenzi walisheherekea kwa kufanya michezo mbalimbali pamoja na kupata burudani za muziki kutoka bendi ya Akudo na Muumini Mwijuma.
Wadau wakifurahia ushindi wa Chelsea
Kaka nanii nae hapitwi dah!
Wpenzi wa Chelsea wakishangilia.
No comments:
Post a Comment