Hakuna uovo ambao utaendelea kuumiza bila ya kukomeshwa kwa njia ya sheria,hawa watekaji ni majangili sawa na majambazi,hivyo ni waoga wanavizia badala ya kujenga hoja hadharani kuwa kiongozi wa madakitari ktk kutafuta haki ya maslahi ndo mtu afanywe adui?wazalendo wa leo tujifunze kupambana kwa kujenga hoja na si kuumizana kama alivyo fanyiwa Dr ulimboka.pole sana DR na Ugua pole mungu yupo atakusaidia upone haraka.

ReplyDelete