Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, June 19, 2012

BREAKING NEWS!

MH. JOHN MNYIKA ATOLEWA NJE BUNGENI LEO

Katika bunge la leo .. Mheshimiwa John Mnyika mbunge wa jimbo la Ubungo ameamuliwa na naibu spika kutoka nje ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya  kusema na kukataa kufuta usemi wake kuwa rais Jakaya Mrisho Kikwete kuwa ni dhaifu katika utendaji wake.. Na ccm na wabunge wake ni wazembe..kwa utendaji kazi wao..Hii ni kwa mujibu wa taarifa zillizofika hivi punde toka bungeni Dodoma.

Mheshimiwa John Mnyika akichangia mada bungeni

  John Mnyika akitoka katika ukumbi wa Bunge la Tanzania leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu.

 Mbunge John Mnyika akisindikizwa na wafanyakazi wa bunge nje ya ukumbi


Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika akiteta na Mbunge wa jimbo la Wawi Hamad Rashid Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo mara baada ya kuondolewa Bungeni





1 comment:

  1. with all respect,,UDHAIFU=WEAKNESS, DHAIFU=WEAKER/ WEAKEST zifuatazo ni baadhi ya maana zake:-
    1.Lacking authority or the power to govern.
    2.Lacking physical strength, energy, or vigor; feeble.
    3.Likely to fail under pressure, stress, or strain; lacking resistance: a weak link in a chain.
    4.Lacking the ability to function normally or fully
    5.Lacking aptitude or skill
    6.Lacking or resulting from a lack of intelligence
    7.Lacking persuasiveness; unconvincing: a weak argument
    8.Lacking firmness of character or strength of will
    9.Lacking the proper strength or amount of ingredients.

    ReplyDelete