Mkutano wa maafisa Ugavi wote waliopo chini ya Idara mbalimbali za Serikali umefanyika katika ukumbi wa TIA na kufikia azimio moja la kuboresha utendaji wao wa kazi katika vituo vyao vya kazi
Kamishna wa Idaya ya Sera ya Ununuzi wa Umma Dr. F. Mwakibinga akiendesha mkutano
Maafisa Ugavi wakifuatilia mkutano kwa umakini
Wadau wa Sekta ya Ugavi wakiwa makini
Somo linaingia
Mara baada ya Mkutano kumalizika
No comments:
Post a Comment