Mkuu wa Kitengo Mauzo na Huduma kwa wateja na Jamii wa benki ya KCB
Christina Manyeye akimkabidhi Mganga msaidizi wa Hospitali ya Amana
DK.Shaany Mwaruka msaada wa Kitanda cha kusaidia wajawazito
kujifunguria (Delivery beds) wkati wa hafla iliyofanyika katika
Hospitali hiyo jijini Dar es Salaam.Jumla ya Vitanda Vitano na Mashine
moja ya kutunzia watoto ambao wanezaliwa kabla ya muda wake vyote
vikiwa na Thamani ya shilingi milioni 15,5. Vilitolewa na benki ya
KCB.Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala Asha Mahita, kulia ni
Diwani wa kata ya Ilala Edson Fungo na Matroni wa Hospitali ya Amana
Sr.Agnes…
No comments:
Post a Comment