Imebainika kuwa pamoja na dawa za kuongeza ukubwa wa makalio ya akina dada kupendwa, dawa hizo pia zina madhara kwa afya ya binadamu. Wataalamu wa mambo wanadai kwamba pamoja na kuongeza ukubwa wa makalio pia dawa huleta matalizo ya kuvimba kwa ngozi ya makalio katika mpangilio usio sahii.
Kadharika inasemekana dawa hizo pia zina uwezo wa kusababisha saratani. Chini picha zinazoonesha muonekano wa watumiaji wa dawa hizo.
No comments:
Post a Comment