YANGA KIDEDEA TENA, YAICHAPA AFC LEOPARD YA SOUTH AFRICA
Yanga
wameendelea kuonyesha ubabe kwa wasauzi baada ya kuichapa Black Leopard
mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki ndani ya CCM Kirumba. Mabao ya
Yanga yametiwa nyavuni na Said Bahanuzi katika dakika ya 3 huku Jerry
Tegete akitikisa nyavu katika uwanja uliomlea kwa bao la ushindi katika
dakika ya 53. Bao pekee la Black Leopard lilifungwa dakika ya 12 na
mchezaji Obaje.
No comments:
Post a Comment