Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Thursday, January 31, 2013

MWANAMKE AWEKA SUMU UKENI ILI KUMUUA MUMEWE


Ilisemwa ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni. Huko nchini Brazil mwanamke mmoja ambaye alikuwa amemchoka mumewe na hivyo kutaka kuachana naye aliamua kufanya jambo moja baya sana ambalo si kwamba lingemdhuru mumewe tu, bali pia lingemdhuru hata yeye mwenyewe na pengine hata kupoteza maisha wote wawili.

Mwamamke huyo badala ya kuomba talaka au hata kujiondoa katika ndoa hiyo ambayo kwake aliiona haina maana aliamua kumuwekea sumu mumewe aliyekuwa na umri wa miaka 43. 

Lakini hakuweka sumu hiyo katika chakula, na badala yake akaweka sumu hiyo katika uke wake, na kisha kumshawishi mumewe kufanya naye mapenzi lakini alimuomba aende chumvini, (Kulamba uke) (Oral Sex) mahali ambapo ndipo alipoweka sumu hiyo. 

Mumewe bila kujua alizama chumvini, lakini alishtushwa na harufu kali ya kemikali asiyoijua ikitokea kunako uke wa mkewe na hapo ndipo mchezo mzima uliposhtukiwa.

Kuona hivyo mumewe alimshauri ampeleke huyo mkewe hospitali akijua amepata tatizo katika uke wake. Mkewe alikubali na baada ya kumfikisha katika Hospitali iliyoko katika mji huo wa San Jose do Rito Preto, alifanyiwa vipimo na madakatari. 

Madakatari hao waligundua kwamba mwanamke huyo aliweka sumu kwenye uke wake ili kumuua mumewe na yeye pia. Mwanamke huyo alikiri kufanya jambo hilo kwa makusudi kabisa. Alipatiwa matibabu na kisha kuruhusiwa kurudi nyumbani.

Hata hivyo mumewe amedai atamshitaki huyo mkewe kwa jaribio la kutaka kumuua.

Source: JF

Wednesday, January 30, 2013

JANUARY TRANSFER HEADLINES:

From ESPN Soccer news.

12:39 GMT: Defensive midfielder Medo Kamara is on the radar of Dougie Freedman at Bolton. The Sierra Leona international was subject to interest from Spurs last summer but it seems Partizan Belgrade are now willing to sell according to Sky. 

12:30 GMT: More on Norwich City's search for a striker. They are set to sign Sierra Leone international Kei Kamara from Sporting Kansas City

12:23 GMT: Didier Drogba's move to Galatasaray has confused his current club Shanghai Shenhua. They have claimed he is still under contract at the club and his move violates the terms of that contract. 

12:07 GMT: More information on the Kuzmanovic to Interdeal. It appears the Italian ginats will pay just £1m to secure his services. 

11:48 GMT: It would appear QPR's pursuit of Portodefender Rolando is coming to an end. Reports in Italy would suggest the 27-year-old is on his way to sign for Napoli on a loan deal until the end of the season with a view to a permanent move in the summer. 

11:43 GMT: A fee has been agreed for the transfer of Nick Blackman from Sheffield United to Premiership strugglersReading. It is being reported that Blackman will sign for £1.2m on a three year deal. 

11:32 GMT: And now in Italy, it seems Inter Milan are close to signing Zdravko Kuzmanovic from Stuttgart. The reason the official Coutinho announcement is being delayed for his transfer from Inter to Liverpool is that officials at the San Siro want to secure replacements in Kuzmanovic and Ezequiel Schelotto before announcing any departures. 

11:26 GMT: Main news coming out of Spain is all from the Madrid clubs. The big news is that former Ballon D'Or winner Kaka cannot find a club. Real Madrid are willing to let the player go but there seems to be no viable options for the Brazilian to leave. Neighbours Atletico Madrid are trying to offload Turkish midfielder Emre as he has barely featured this season and it seems Fenerbahce could be his destination. 

11:20 GMT: Cash-strapped Birmingham City have confirmed they have rejected bids for Curtis Davies and Marlon King from local rivals Wolves

11:16 GMT: Former England goalkeeper Paul Robinson has become a target for West Ham United after being told byBlackburn boss Michael Appleton he can leave the Lancashire club. 

11:06 GMT: Chris Hughton is also looking to offload a striker from his squad. Simeon Jackson has been available for some time and it seems Derby County are interested. 

11:00 GMT: Talksport have reported that Norwich have had a third bid for Celtic's Gary Hooper rejected. The Canaries keep falling below the asking price which is said to be around £8m. 

10:50 GMT: Here are some highly unlikely rumours straight out of left field. Arsenal are thinking about a late swoop forManchester City's Edin Dzeko. Aston Villa need goals and so are planning an audacious swoop for David Villa. QPR are looking to sign Scott Parker from Spurs. And finally, Arsene Wenger feels he can lure Luka Modric back to north London at the end of the season. Can't see any of these happening yet they can be found in the darkest corners of the internet. 

10:42 GMT: It seems there is no-one QPR will not buy. Harry Redknapp has apparently earmarked Scott Parker as another transfer target for the R's. Surely this one will not happen. 

10:30 GMT: Highly rated young goalkeeper Jack Butland has turned down the chance to move to Chelsea because he feels he would get no first-team football. Chelsea andBirmingham had agreed a fee of £3.5m but the 20-year-old would rather stay with his current club. 

10:23 GMT: DONE DEAL: Urby Emanuelson has confirmed he will be leaving AC Milan to join Fulham on loan until the end of the season. 

10:18 GMT: Having sold Coutinho to Liverpool, Inter Milan are ready to replace the winger with Argentine Ezequiel Schelotto. The Atalanta winger is said to be delighted negotiations are coming to an end as he awaits his move to the San Siro. 

10:12 GMT: DONE DEAL: QPR have signed South Korean Yun Suk-Young. The defender was granted a work permit and has signed a three-and-a-half year deal at Loftus Road. 

10:10 GMT: Peterborough United have agreed a fee with Crystal Palace for George Boyd. The Posh midfielder has spent six years at the club and is currently talking terms with Palace. Posh chairman Darragh MacAnthony said: "George has been a Palace fan all his life and now has a chance if he joins them to help them get promoted to Premier League." 



10:05 GMT: Argentinian full-back Lionel Scaloni has joinedAtalanta on loan for the rest of the season from Lazio

09:54 GMT: Leroy Fer's proposed move to Everton is in doubt after the player's medical. There is a problem with his knee having suffered injuries to that area in the past andEverton now wish to pay the fee in installments but FC Twente seem to be having none of it. Chairman Joop Munsterman said: "Everton have additional requirements on the method of payment. Here we do not agree so it's stuck." 

09:45 GMT: In other Championship news, Lee Clark's struggling Birmingham could be on the verge of selling one of their prize assets in Nathan Redmond. Watford have bid £2m for the winger. 

09:42 GMT: Chris Hughton has been on the look out for a new striker all window and may finally have found his man.Leeds United topscorer Luciano Becchio could be moving toNorwich for £1m + Steve Morison going in the other direction. 

09:33 GMT: Tough-tackling French midfielder Étienne Capoue is in London to talk to QPR about a possible transfer accoridng to Le10. His current club Toulouse are willing to do business and Harry Redknapp is keen to bring Capoue in after missing out on Yann M'Vila to Rubin Kazan

09:11 GMT: Didier Drogba's move to Galatasaray has been thrown into doubt with Shanghai Shenhua insisting the striker is still contracted to them. "Drogba is still a Shanghai Shenhua Football Club member as the contract between the two parties is still within its period of validity," a statement read. 

08:44 GMT: Chelsea are the first club to make a firm bid for England Under-21 goalkeeper Jack Butland but it is far from certain he will head to Stamford Bridge from Birmingham City

08:06 GMT: Stoke City manager Tony Pulis has revealed the club are close to securing the signature of USA international Brek Shea. FULL STORY

07:37 GMT: Liverpool manager Brendan Rodgers has indicated he is keen to reward captain Steven Gerrard with a new contract at Anfield. FULL STORY

06:55 GMT: The Daily Mail has a snap of Philipe Coutinho holding a Liverpool shirt. Surely positive signs for Reds fans. 

05:15 GMT: Hoffenheim have signed Belgium forward Igor de Camargo from 
Borussia Monchengladbach for the rest of the season in a bid to avoid relegation. 

03:20 GMT: Stoke are close to securing the signature of FC Dallas winger Brek Shea, pending a medical and the United States international securing a work permit. "I think it is close now, and we are hoping that we can get that deal done in the next day or so," Pulis told Stoke's official website. 

01:00 GMT: Here's a look at what is making headlines in Wednesday's papers. 

DAR-ES- SALAMU ILIVYOKUWA ZAMANI

Zifuatazo ni baadhi ya picha zikionesha mabadiliko makubwa ya muonekano wa jiji la Dae-es-Salaam ukilifananisha na jinsi lilivyokuwa likionekana moaka ya Themanini.


Mzunguko wa Makutano ya barabara ya Samora.Maarufu kama Askari Monament kama kulivyokuwa kukionekana wakati huo

Sehemu hiyo ya jiji la dar-es-Salaam inavyoonekana kwa sasa tofauti na hapo zamani

Wednesday, January 23, 2013

YANGA KIDEDEA TENA, YAICHAPA AFC LEOPARD YA SOUTH AFRICA

Yanga wameendelea kuonyesha ubabe kwa wasauzi baada ya kuichapa Black Leopard mabao 2-1 katika mchezo wa kirafiki ndani ya CCM Kirumba. Mabao ya Yanga yametiwa nyavuni na Said Bahanuzi katika dakika ya 3 huku Jerry Tegete akitikisa nyavu katika uwanja uliomlea kwa bao la ushindi katika dakika ya 53. Bao pekee la Black Leopard lilifungwa dakika ya 12 na mchezaji Obaje.

AFRICON 2013

 
23.01.2013
FIXTURE
18:00      GROUP A  SOUTH AFRICA  vs  ANGOLA
   21:00      GROUP A   MOROCCO      vs   CAPE VEDE

SALE! SALE! SALE





Thin Client Computer zinauzwa kwa bei chee mzigo umeingia hivi karibuni kutoka ughaibuni. Specification za mzigo huo ni kama ifuatavyo:

Product name:      HP T5730
                                      Processor:        AMD Sempron Mobile (tm)   
            Speed:    1000Mhz
         Memory:    1024 MB
                     Operating System:     System XP Service Park 2
                          Graphics:      ATI Radion X1250
   
Wahi mapema mzigo ni mchache na first come first save!!!! 
For more Contact Call:   0655120120

Tuesday, January 22, 2013

SIMBA YAMALIZA ZIARA YAKE NCHINI OMAN

Timu ya Simba ya Tanzania imemaliza ziara yake nchini Oman ilipokwenda kwa ajili ya maandalizi ya ungwe ya pili ya lingi ya Vodacom premier kama ilivyokuwa kwa watani wao wa jadi waliorudi hivi karibuni kutoka nchini Uturuki.



Monday, January 21, 2013

VIDEO YA BATA MTAMU NA OFFSIDE TRICK



Kona ya Katuni....

JE? NI KWELI ELIMU ETU YA JUU SIKU HIZI INATOA  WAHITIMU BOMU?


UKUTA WAANGUKA NA KULETA MADHARA UBUNGO BUS TERMINAL

Ukuta uliopo katika eneo la kuegeshea magari ya watu binafsi wanaoingia ndani ya kituo cha mabasi yaendayo mikoani kwa lengo la kusindikiza au kupokea wageni umeanguka na kuharibu vibaya magari yaliyokuwa yameegeshwa katika eneo hilo.

Moja ya magari yaliyoumia vibaya baada ya kuangukiwa na ukuta huo




Hasara kubwa kwa wamoliki wa magari haya



Monday, January 14, 2013

IFM WAANDAMA KUPINGA VITENDO VYA UBAKAJI WANAVYOFANYIWA NA VIBAKA


Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha jijini Dar es Salaam (IFM) wameandamana leo majira ya adhuhuri hadi kwenye  Wizara ya Mambo ya Ndani wakiwa na madai ya kutopewa ulinzi na jeshi la polisi kwenye makazi yao ya hosteli za Kigamboni kutokana na kuvamiwa na majambazi mara kwa mara.

Wanafunzi hao walidai kuwam, siku ya Ijumaa walifanya kikao na jeshi hilo ili wawape ulinzi lakini suala la ajabu ni kuwa, siku waliyofanya kikao na Jeshi hilo ndiyo siku wenzao wawili wakiume walipovamiwa na kulawitiwa.

Majambazi hao wamekua wakidai wapewe laptops, simu na fedha na kama mwanafunzi anakataa, humlawiti.

wanafunzi wa Chuo cha IFM wakiwa nje ya Wizara ya mambo ya ndani

Kiongozi wa wanafunzi akimjuza kamanda Kova 




Kama kawaida yao walikuwepo!
Maandamano kuelekea ferry...

Hatimaye wakiwa wanaimba nyimbo ndani ya Panton...