CUF YATOA MISAADA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO YA JANGWANI
Naibu Katibu Mkuu, Chama cha Wananchi (CUF), Bw. Julius Mtatilo (kushoto), akikabidhi msaada wa mfuko wa unga wa sembe jana kwa Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kigogo, Bw. Emmanuel Riwa, kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es Salaam hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment