DK. HARRISON MWAKYEMBE AJITOKEZA NA KUSHIRIKI MISA KWA MCHUNGAJI GWAJIMA KAWE
Mbunge wa Kahama Bw. James Lembeli kushoto , akizungumza na Dk. Harrison Mwakyembe wakati wa ibada hiyo
Dk Harrison Mwakyembe akishuka katika madhabahu mara baada ya kumalizika kwa ibada
Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta akiongea katika ibada hiyo na kumkaribisha Dk Harrison Mwakyembe ili kuzungumza machache na waumini wa kanisa hilo na kutoa ushuhuda wake.
Waziri wa Afrika Mashariki Samwel Sitta akishuka katika madhabahu mara baada ya kumalizika kwa ibada
Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima lilloko Kawe Tanganyika Pakers akimkaribisha Dk Harrison Mwakyembe Mbunge wa Kyela na Naibu Waziri wa Ujenzi katika ibada iliyofanyika leo kwenye kanisa hilo na kuhudhuriwa na Waziri wa Afrika Mashariki mzee Samwel Sitta na baadhi ya wabunge kadhaa
Mchungaji Maximilian Machumu wa kanisa la Ufufuo na Uzima akiwa katika ibada
Baadhi ya waumini wa kanisa hilo wakitawanyika baada ya kumalizika kwa ibada hiyo
(Picha zote ni kwa hisani ya Full Shangwe Blog)
No comments:
Post a Comment