Tayari Serikali kupitia Baraza la mitiani NECTA imetangaza Matokeo
ya kidato cha pili mwaka 2015 324,068 sawa na 89% kati ya wanafunzi
363,666 waliofanya mtihani wamefaulu kuendelea na kidato cha tatu kwa
mwaka 2016.
Matokeo yote unaweza kuyatazama hapa.
Pia unaweza kupata matokeo kwa kutuma SMS kwenda 15311. Kwa kufuata maelekezo yafuatayo..
Send SMS to 15311
How to send SMS
This service is only available for Tigo, Vodacom and Zantel subscribers.
How to send SMS
- To get results:
Write:
matokeo*centre number*candidate number*exam type*exam year Example :
matokeo*S1665*0041*k4*2014
matokeo*M0110*0003*qt*2014 - To get rank: Write: rank*centre number*exam type*exam year Example : rank* S0101*k4*2014
This service is only available for Tigo, Vodacom and Zantel subscribers.
No comments:
Post a Comment