Monday, February 18, 2013
MATOKEO YA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE 2012\2013 YATANGAZWA
Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi leo imetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne 2012\2013 uliofanyika mwaka jana. Blog hii inafanya jitihada za kuapload matokeo hayo ili yaweze kusomwa na kila mtu kwa urahisi. Kwa sasa pata matokeo kupitia website ya NECTA kwa kufata link hii http://www.necta.go.tz/results.html
TAARIFA YA POLISI KUHUSU MAUAJI YA PADRE WA KANISA KATORIKI ZANZIBAR
Padre wa kanisa la Katoliki la Mt. Joseph lililoko Unguja Zanzibar aliyeuwawa na watu wasiojulikana kwa kupigwa risasi kichwani
Thursday, February 7, 2013
TAIFA STARS 1 - 0 CAMEROON
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" jana ilifanya maajabu kwa kuifunga timu ya taifa ya Cameroon mabao 1-0 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika katika uwanja wa taifa mjini Dar-es-Salaam, Tanzania.
Goli la Tanzania lilifungwa na mshambuliaji wake anayecheza soka la kulipwa katika timu ya TP Mazembe ya nchini DRC Congo katika dakika ya 88 ya mchezo kutokana na krosi iliyopigwa na beki Erasto Nyoni.
Mshambuliaji wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta akifunga goli
Subscribe to:
Posts (Atom)