Show ya mziki iliyopigwa na mwanamuziki toka Jamhuri ya Congo usiku huu imeharibiwa na uandaaji mbovu wa wenyeji uliosababisha jenereta kuzidiwa nguvu na vyombo na kusababisha kuzima mara kwa mara. Kitenddo hicho kilisababisha show kuchelewa na kuanza ikiwa imechelewa mnamo saa saa tisa za usiku! Show ilikuwa mbovu?
No comments:
Post a Comment