Monday, December 17, 2012
KOFFI OLOMIDE APIGA SHOO YA NGUVU DAR NA MWANZA
Kama hukubahatika kwenda kuiona shoo ya mwanaziki kutoka Jamhuri ya Kidemocrasia ya Kongo, Koffi Antwaa Charles Olomide basi pata japo bashasha ya kilichotokea!
Saturday, December 1, 2012
SHOW YA JB MPIANA YACHEMSHA
Show ya mziki iliyopigwa na mwanamuziki toka Jamhuri ya Congo usiku huu imeharibiwa na uandaaji mbovu wa wenyeji uliosababisha jenereta kuzidiwa nguvu na vyombo na kusababisha kuzima mara kwa mara. Kitenddo hicho kilisababisha show kuchelewa na kuanza ikiwa imechelewa mnamo saa saa tisa za usiku! Show ilikuwa mbovu?
Subscribe to:
Posts (Atom)