MAFUNZO YA MFUMO WA
MADENI YAFANYIKA KWA WATAALAM WA WIZARA YA FEDHA
Mafunzo kwa wataalam wa Wizara ya fedha kuhusiana na madeni ya nje yanaendelea katika kumbi ya Ubungo Plaza.
Wataalam wakifuatilia mafunzo kwa umakini
Wataalam wawezeshaji wakichambua mada muhimu
Mtaalamu akielekeza jambo muhimu
No comments:
Post a Comment