Advert


java

Connectify - Turn Your PC into a Wi-Fi Hotspot. Install now!

Tuesday, March 29, 2011

KILI AWARDS 2011

20% ATIA FORA KWA KUNYAKUA TUZO TANO.
Hakika ilikuwa ni furaha ya pekee kwa msanii huyu na producer wake Man Water.

Tuzo alizopata zilikuwa ni 
Tuzo ya wimbo bora wa Afro Pop – Tamaa mbaya, Tuzo ya mtunzi bora wa Nyimbo, Mwimbaji bora wa Kiume, Wimbo bora wa Mwaka na Tuzo ya Msanii bora wa Kiume.

Barnaba akifurahia tuzo aliyopata ya Wimbo Bora wa Zouk/Rhumba.

Monday, March 21, 2011

Msondo vs Sikinde....

MIAMBA YA MUZIKI WATOANA JASHO DIAMOND JUBILEE

Shabani Dede wa Msondo baada ya kuihama sikinde

Jumbe baada ya Kurudi Sikinde
Wadau ankal Issa Michuzi na Kaka Ade nao walikuwepo
Bitchuka na Jumbe wakishirikiana kuwamaliza Msondo.
Wapenzi wakimtuinza Dede
Mambo yalipoanza kupamba moto!

 


 

Thursday, March 17, 2011

KITIMUTIMU CHA LOLIONDO KATIKA KATUNI....

MZUKA WA DAWA YA BABU ASAPILE

KIZAA ZAA.....

PANTONI MBILI NA MELI KUBWA USO KWA USO

Hili lilitokea hapo feri kivukoni wakati wa jioni. Je nani wa kulaumiwa?

Nondozz.....

MAFUNZO YA MFUMO WA
MADENI  YAFANYIKA KWA WATAALAM WA WIZARA YA FEDHA
Mafunzo kwa wataalam wa Wizara ya fedha kuhusiana na madeni ya nje yanaendelea katika kumbi ya Ubungo Plaza.

Wataalam wakifuatilia mafunzo kwa umakini 


 Wataalam wawezeshaji wakichambua mada muhimu

Mtaalamu akielekeza jambo muhimu

Thursday, March 10, 2011

KWARESMA. NJEMA...!

WAKRISTO WOTE DUNIANI WAINGIA KATIKA KIPINDI CHA KWARESMA.

Waumini wa madhehebu ya kikristo duniani kote wameanza kipindi cha kwaresma ambacho kwa kawaida huwadia kabla ya sikuu ya Pasaka. Tatika kipindi hiki cha mwazi huu wa toba, wakristo wanatakiwa kuacha maovu na kutenda mambo mema yampendezayo Mungu.

Na mimi kaka Adebayor napenda kuwatakia mafanikio yenye baraka Wakristo wote duniani katika kipindi hiki cha toba na mfungo wa kwaresma.

Wednesday, March 9, 2011

BABU AMBOKILE.....

WATU WAJAZANA KUPATA TIBA YA BABU LOLIONDO
 Dawa ya Murugaruga iliyogunduliwa na babu ikiwa jikoni

Msafara wa Magari ukielekea kwa babu Loliondo.

Babu Ambokile akiwa ameshika kikombe chenye dawa.

Msururu wa watu wakiwa katika foleni kusubilidawa.

Monday, March 7, 2011

EPL.....

LIVERPOOL YAIUA MAN UNITED

...Wauaji wa Man United!

Hayawi yamekuwa! Kamata piga!

Friday, March 4, 2011

Wednesday, March 2, 2011

EPL..... UJENZI WA DARAJA WAANZA......

CHELSEA YAIUA MAN UNITED DARAJANI
Timu ya Chelsea maarufu kama "The Blues" jana usiku walifufua matumaini ya kuchukua ubingwa wa ligi ya Uingereza kwa kukata mkia wa Mashetani Wekundu wa Old Trafford kwa mabao 2-0

Frank Lampard na Didier Drogba wakishangilia bao la 2

Chelsea wakimpongeza Man of The Match David Luiz


Glory to God...This is what Frank said

 

Tuesday, March 1, 2011

Hotuba ya Rais.......

CHADEMA WANATISHA 
Hotuba ya mwisho wa mwezi ya Mh. Jakaya Mrisho Kikwete kwa Wananchi

Baadhi ya mambo muhimu aliyoyaongelea Rais katika hotuba ya mwezi huu ni
  • Milipuko ya mabomu Gongo la Mboto-Uchunguzi unaendelea kwa kushirikisha wataalamu wa nje.
  • Hali ya Chakula nchini-Upungufu wowote wa chakula utadhibitiwa
  • Bei ya sukari-itadhibitiwa ambapo kilo moja itauzwa Tshs/=1,700 na sio zaidi ya hapo kuanzia mwezi May.Kwa sasa,serikali imetoa kibali ili kuagizwa kwa sukari kutoka nje.Haitotozwa ushuru wa forodha ili iweze kuuzwa kwa bei nzuri.
  • Hali  ya Umeme-Mambo Bado
  • Hali ya usalama wa nchi-Aelekeza lawama kwa CHADEMA; Kauli zao,maandamano yao yanachochea ghasia,machafuko.Atoa “shule” kwa viongozi wa CHADEMA juu ya nini cha kufanya baada ya Uchaguzi.Asema CHADEMA wanataka kuipeleka nchi pabaya kwa uchu wao wa madaraka.

Wazee wa Cutiiiii vs Masharobaro.....

Hee! Kumbe ilikuwa Hivi

Masanja Mkandamizaji na JB wa Bongo Movie

EPL.....

MTANANGE WA KUKATA NA SHOKA LEO

Uamuzi wa kama The Blues wana nafasi ya kuwania ubingwa au hapana uko mikononi mwa Mashetani wekundu watakapokutana leo usiku!
 

NEW FACES.....

PRESIDENT JK HAS APPOINTED NEW PERMANENT SECRETARIES


A statement issued by the Chief Secretary of the State House, Mr Phillemon Luhanjo said the changes are a result of the new structure of the government, in which the Ministry of Infrastructure has been divided while some permanent secretaries have retired.

According to the statement, those appointed include Mr Fanuel Mbonde who is the new Permanent Secretary in the President’s Office, State House. Before his new appointment Mr Mbonde was the deputy permanent secretary, Prime Minister’s Office.

Others are Hussein Kattanga who becomes the Permanent Secretary, Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Governments; Mr John Haule becomes Permanent Secretary in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation; Mr Herbert Mrango goes to the Ministry of Works and Mr Eric Shitindi becomes the Permanent Secretary, Ministry of Labour and Employment.

Prior to the appointments, Mr Kattanga was Deputy Permanent Secretary, Ministry of Community Development, Gender and Children and Mr Haule was Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Finance and Economic Affairs; Mr Mrango served as Deputy Permanent Secretary, Ministry of Works while Mr Shittindi was Deputy Permanent Secretary, President’s Office, Public Service and Management.

President Kikwete has also transferred Sazi Salula from the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation to the Vice President’s Office and Ms Maimuna Tarishi from the Prime Minister’s Office to the Ministry of Natural Resources and Tourism.

Others are Engineer Omar Chambo who becomes Permanent Secretary, Ministry of Transport from what used to be the Ministry of Infrastructure; and Ms Kijakazi Mtengwa becomes the Permanent Secretary, Ministry of Community Development, Gender and Children.

The statement signed by Mr Luhanjo said Dr Ladislaus Komba who was Permanent Secretary, Ministry of Natural Resources and Tourism will be assigned special duties in the Ministry of Foreign Affairs and International Cooperation.

Furthermore the statement said that President Kikwete has transferred Ms Elizabeth Nyambibo to the Ministry of Finance and Economic Affairs where she becomes deputy permanent secretary filling the vacancy left by Mr Haule. Before the transfer, Ms Nyambibo was the Deputy Permanent Secretary in the Ministry of Home Affairs.

The statement said that the appointments took immediate effect and that the new PSs will be sworn in today at 9am in the State House in Dar es Salaam.